Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Peter Ulanga kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL). Ulanga anachukua ...
Baadhi ya wajasiriamali jijini Dar es Salaam, wameomba kupunguzwa kwa urasimu katika usajili wa vikundi ili kupata mikopo ya ...
Hatimaye mwili wa Jackson Joseph (29) uliokuwa ukigombaniwa na familia mbili, umezikwa leo Novemba 11, 2024 kwa mara ya pili ...
Kiu ya kuoa mke mwingine, imemuingiza matatani Godlisen Lema (48), baada ya kudaiwa kuamua kumuua mkewe ili kutimiza haja ...
Wakati mwili wa aliyekuwa Katibu Mtendaji wa Tume ya mipango, Lawrence Mafuru ukitarajiwa kuwasili Tanzania kesho Jumanne ...
Licha ya vilio vya mara kwa mara, baadhi ya Watanzania wameendelea kulalamika kutapeliwa fedha zao na watu au taasisi ...
Mkurugenzi wa Elimu ya Juu kutoka Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Peter Msoffe akizungumza leo Novemba 11, ...
Chama Kikuu cha Ushirika Lindi Mwambao, kinachojumuisha Wilaya za Lindi, Kilwa na Mtama, kimeuza korosho zenye thamani ya ...
Naibu Mkuu wa Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (Takukuru), Mkoa wa Kilimanjaro, Sabas Salehe akizungumza na waandishi ...
Kwa wafuatiliaji wa muziki wa Hip-hop jina la Dizasta Vinna sio geni masikioni mwao, kutokana na umaarufu aliopata kwenye ...
Baraza la mpito la Haiti lililoundwa kurejesha mfumo wa demokrasia nchini humo, limetia saini amri ya kiutendaji ya kumfuta ...
Kipigo hicho kimeifanya Man City kuwa na mfululizo wa matokeo mabaya na kuweka rekodi kibao huku ikiiacha timu hiyo na ...